Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga amewaambia Waheshimiwa Wabunge wa maeneo yanayolima pamba kuwa Wizara ya Kilimo imedhamiria kumkomboa Mkulima wa pamba na kwa kuanza imeanzisha zoezi la kuwasajili Wakulima wote nchini wakiwemo Wakulima wa pamba ambapo Serikali imetengeneza mfumo maalumu wa kuwatambua kwanza Wakulima, maeneo wanayotoka, mashamba yao yapo wapi na yana ukubwa gani.

read more

Moja kati ya matatizo yanayowakumba watu wengi kwa kizazi cha sasa ni tatizo la magonjwa mbalimbali ikiwemo uzito, tatizo hili limekuwa chanzo cha matatizo mengine makubwa na yenye madhara makubwa kwa afya ambayo wakati mwingine husababisha kifo. Magonjwa ya moyo, kisukari, shinikio la damu la kupanda na kushuka, matatizo ya figo na viungo vingine vya

read more
dev